Kuelekea mchezo wa ligi kuu bara leo tarehe 23 novemba Kati ya Simba na Ruvu shooting msemaji wa klabu hiyo Masau Bwire amenukuliwa akisema
"Ile siku iliyokuwa inasubiriwa ni leo, ni zamu ya Simba kupapaswa baada ya wenzao Yanga, Azam na KMC kupapaswa. Tulikuwa tunaona hii siku haifiki lakini leo katika uwanja wa Uhuru lazima tutimize dhamira yetu ya kuwapapasa,"
Post a Comment
0
Comments
MERIDIAN BET
EURO 2024
Kuanzia tarehe 14 june to 14 july AMOSPOTIXTRA TEAM itakuwa ujerumani kukuletea michuano ya EURO2024
0 Comments