Kipa wa Italia Gianluig Donnarumma jana alikuwa sehemu ya safari na Shirikisho la Mpira la Italia kwa Kutembelea jiji la Venice baada ya kukumbwa na mafuriko.
Lengo kuu ni kuonyesha mshikamano kwa wakati mgumu wanaopitia kwa wakazi wa mji huo
Venice ni moja ya jiji yenye mojawapo ya hekalu la kihistoria yenye thamani zaidi duniani, na kwa sasa lipo kwenye hatari ya kupoteza watalii ambao hutembelea kila mwaka kutokana na uharibifu wa majengo kadhaa.
"Kwa niaba ya timu nzima, tuko karibu na jiji la Venice na kutuma kwa kukumbatia kwa kila mtu", alisema Donnarumma
0 Comments