advertise with us

ADVERTISE HERE

KWELI SIMBA NA MO DEWJI NI BABA LAO

Klabu ya Simba imefikia hatua nzuri za ujenzi wa kiwanja chake cha mazoezi kilichopo jijini Dar es salaam wilaya Kinondoni kata ya Bunju .ujenzi wa kiwanja hichi unategemewa 


kukamilika mwishoni mwa mwezi wa 12 na kitaanza kutumika mara baada ya kukamilika. Nimekuwekea picha za maendeleo ya ujenzi wa kiwanja hicho. nimekuwekea picha mbali mbali za ujenzi wa kiwanja hicho.


Uwanja wa nyasi asilia wa klabu ya Simba maaluu kwa mazoezi

Uwanja wa nyasi bandia
Ofisi ndogo zilizopo klabui hapo


Muonekano wa kiwanja cha Nyasi asili na Bandia vilivyopakana hapa Bunju

Post a Comment

2 Comments

  1. Hongeleni Sana wahusika pamoja na wakandarasi sasa simba ni baba lao

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa hapa Klabu ya Simba imepiga hatua kubwa mno na hata yule msanii aliesema Simba baba lao hakukosea

      Delete