BETI NASI UTAJIRIKE

KOCHA MSAIDIZI WA SIMBA AFUNGUKA BAADA YA PATRICK AUSEMMS KUFUNGIWA


Kocha mkuu wa Simba, Patrick Aussems ameendelea kutumikia adhabu ya kifungo huku huku kikosi chake kikijifua kwenye Viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam.


Mazoezi hayo yamefanywa chini ya msaidizi wake, Denis Kitambi ambaye alijikita zaidi katika kuwapa wachezaji mazoezi ya kumiliki mpira na kufunga. Kocha msidizi wa Simba Bw.Kitambi alinukuliwa akisema 


Post a Comment

0 Comments