BETI NASI UTAJIRIKE

UCHEBE AWAUMBUA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA

Hii inaitwa usiyempenda kaja na kaja kwa Shari si heli tena. Kocha mkuu wa Simba Sc Patrick aussems ameiongoza Simba dhidi ya Ruvu shooting baada ya tetesi za

 kocha huyo kuhusishwa na kuvunjiwa mkataba wake na Klabu hiyo. Aussems anaendelea kuwa kocha Mkuu wa Simba na hakuna dalili zozote  za kuondolewa.  Baadhi ya vyombo vya habari viliandika habari za uongo kuhusu kocha huyo kutoongoza mchezo wowote mpaka atakapomaliza adhabu yake aliyopewa na menejimenti ya simba.tetesi hizo si za kweli kwani keep Cha huyo ameiongoza timu hiyo dhidi ya Ruvu shooting na Hiki ni kikosi cha Simba


Post a Comment

0 Comments