BETI NASI UTAJIRIKE

KLABU YA SIMBA YATANGAZA KUPATA VIONGOZI WAPYA

Klabu ya Simba imetangaza kumpata mrithi wa muda kwa nafasi ya Mwenyekiti wa klabu iliyoachwa wazi na Sued Nkwabi aliyejiuzulu miezi michache iliyopita kwa kinachodaiwa 

ni kutaka  kusimamia biashara zake. Simba wametoa tangazo lihusulo Bw. Mwina Mohamed Kaduguda  kukaimu nafasi ya Nkwabi mpaka uchaguzi mpya utakapoitishwa tena .

Simba imemteua Bw. Salum Abdallah Muhene kuwa makamu mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya kampuni ya Simba Sports Club Limited
Uteuzi huo unaanza kufanya kazi rasmi kuanzia leo tarehe 19 Novemba 2019 mpaka pale bodi ya wakurugenzi itakapoitisha uchaguzi mwingine

Post a Comment

0 Comments