BETI NASI UTAJIRIKE

KAULI YA INJINIA ANAYESIMAMIA UJENZI WA UWANJA WA SIMBA BUNJU

Kuelekea ufunguzi rasmi wa uwanja wa mazoezi wa klabu ya Simba tarehe 7 Disemba Msimamizi mkuu wa ujenzi amesema uwanja huo utakamlika asilimia 100 tarehe 3&4

Ujenzi huo umesimamiwa na mwekezaji wa klabu hiyo Bw.Mohammed Dewji na utazinduliwa rasmi na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli 

Post a Comment

0 Comments