Mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere ameteuliwa katika orodha ya wanasoka wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika ngazi ya klabu kwa mwaka 2019.
Pamoja na aliyekuwa Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi ambaye kwa Sasa ni mchezaji wa Ittihad Alexandria. Hii ni listi ya wachezaji 20 wanaowania tuzo hiyo.
0 Comments