Bodi ya Ligi imetangaza rasmi tarehe ya mechi kati ya Simba na Yanga raundi ya kwanza msimu huu wa2019/20. Mchezo huo wa nguvu umepangwa kuchezwa uwanja wa Taifa
Tarehe 04 Januari 2020 na vilabu hivyo vitakutana wakati wa dirisha dogo hivyo kutoa nafasi kwa watani hao kufanya sajili za nguvu kabla ligi haijachanganya zaidi.
Mchezo huo unasubiriwa kwa hamu na pande zote mbili na unategemewa kuandika historia mpya kwenye soka baada ya Simba kutumia mabilioni kwa usajili huku Yanga wakitegemea kutembeza bakuli ili kuwalipa wachezaji wake.
0 Comments