Klabu ya Yanga Sc inajiandaa kufanya usajili wa nguvu msimu wa dirisha dogo na imeandaa mzigo mkubwa kuhakikisha inapata kikosi imara ili iweze kufanya ligi kuu Tanzania
Moja ya wachezaji wanaowaniwa na klabu hiyo ni Mshambuliaji Finally Sargong ambae anayecheza Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda.
Yanga inajiandaa imekuwa ikihusishwa pia kumrudisha Haruna Niyonzima kumnunua Ulimwengu Jules n imejipanga kuhakikisha inawanasa wachezaji hao linapofunguliwa dirisha dogo.
Mshambuliaji wa Polisi Tanzania Adam Nchimbi nae ni mmoja wa nyota wanaowindwa na klabu hiyo iliyopo nchni Misri kuvaana na Pyramids .
Mshambuliaji Issa Bigirimana anadalili za kutemwa baada ya kushindwa kuonyesha kiwango kizuri msimu huu.
0 Comments