advertise with us

ADVERTISE HERE

HAYA HAPA MAJEMBE 7 YATAKAYOTUA YANGA MWEZI HUU

Dirisha dogo la usajili ligi kuu Tanzania Bara limekwishafunguliwa na tayari klabu kadhaa zimeanza kufanya mazungumzo na wachezaji mbalimbali . Kwa upande wa Yanga wao

wametangaza majina 7 ya wachezaji wanaowahitaji . Dirisha hilo limefunguliwa rasmi hapo jana tarehe 15 Novemba na litafungwa tarehe 15 Disemba
Kaimu kocha Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amethibitisha kuwa atakifanyia maboresho kikosi chakema atakabidhi mapendekezo yake kwa uongozi wiki ijayo. Hawa hapa nyota 7 ambao wanawaniwa na klabu hiyo kwa udi na uvumba.
Shiza Kichuya
2. Ismail Kada 
3.Bakari Mwamnyeto 
4.Ditram Nchimbi
5. Haruna Niyonzima 
6.Erick Rutanga
7. Michael Sarpong 

Post a Comment

0 Comments