Amospoti imekuletwa listi ya majina 25 ya wanaume waliofanikiwa kuingia kwenye orodh ya Goal 50 awards hiyo huku wachezaji mahili kama Pogba,Modric na Neymar wakishindwa kuingia kwenye orodha hiyo kutokana na kushindwa kuonyesha uwezo wa juu zaidi kwa mwaka 2019.
Hii hapa Orodha kamili
1. Virgil Van Dijk- Liverpool , Netherland
2. Lionel Messi -Barcelona , Argentina
3.Mohammed Salah - Liverpool , Egypt
4. Cristiano Ronaldo - Juventus , Portugal
5. Sadio Mane -Liverpool, Mali
6.Raheem Sterling- Manchester City ,England
7. Alison Becker - Liverpool
8.Frenkie De Jong- Barcelona, Netherland
9.Bernado Silva - Manchester City , Portugal
10. Kylian Mbappe- PSG, France
11.Eden Hazard- Real Madrid , Netherland
12. Mathjis De Light- Juventus ,Netherland
13.Sergio Aguero-Manchester City, Argentina
14.Son Heung-Min -Tottenham, South Korea
15.Trent Alexander Anord - Liverpool
,
16.Robert Lewandowski- Bayern Munich , Polland
17.Roberto Firmino- Liverpool, Brazil
18.Jadon Sancho- Borrusia Dortimund
19.Antoine Griezman- Barcelona ,France
20.Pierre- Emerick- Aubemayang- Arsenal , Garbon
21. Harry Kane -Tottenham , England
22. Dusan Tadic - Ajax, Serbia
23. Andy Robertson- Liverpool , Scotland
24.Marco Reus- Borrusia Dortmund ,Germany
25.Luis Suarez - Barcelona , Uruguay
0 Comments