BETI NASI UTAJIRIKE

HAWA HAPA WACHEZAJI 18 YANGA WALIO WASILI MWANZA KUIMALIZA ALLIANCE

Kikosi cha wachezaji 18 cha Yanga kilichoondoka alfajiri ya leo kimewasili salama mwanza tayari kwa mchezo wa ligi kuu Tanzania dhidi ya Alliance FC ya jijini humo.


Mchezo huo unategemewa kupigwa siku ya Ijumaa katika dimba la Nyamagana na Yanga atalazimika kushinda mchezo huo ilikusogea nafasi za juu kwenye mbiio za Ubingwa . Yanga iko nafasi ya 15 kwenye msimamo huo ikicheza michezo 6 na kushinda 4 sare 1 na kufungwa 1 kisha kujinyakulia pointi 13. 

Kama Yanga atashinda mchezo huo atapanda nafasi 4 za juu na kumfanya awe namba 11 akiwa na pointi 16 huku wakielekea mapumziko ya ligi mpaka januari 2020 watakapoumana  na Simba 

Kikosi kamili cha Yanga kinachojiaandaa kuwakabili wapinzani wakeAlliance hiki hapa 
Farouk Shikhalo

 Ramadhani Kabwili
Juma Abdul
 Jafary Mohammed
Ally Mtoni
 Kelvin Yondani
 Mustafa Selemani
Lamine Moro
Papy Tshishimbi
Mrisho Ngassa
David Molinga
 Raphael Daud
Sadney Urikhob
Deus Kaseke
Juma Balinya
Said Juma
Patrick Sibomana
 Adam Kiondo(u20) 


Kundi hili la wachezaji 18 limeongozwa na Kocha mkuu wa timu hiyo Bw.Boniface  Charles Mkwasa na benchi la ufundi.

Post a Comment

0 Comments