BETI NASI UTAJIRIKE

HATA AJE BRAZIL HAWEZI CHOMOKA TAIFA

-Hayawi hayawi Sasa yamekuwa baada ya Taifa Stars kuonyesha uwezo wa Hali ya juu kwa kuifunga Equitorial Giuinea mabao 2-1.


Hapo Jana muhamasishaji wa timu ya taifa Haji Manara alinukuliwa akisema

Kwa Taifa Stars hata aje Brazil hapa, hatoki”Maneno yake yametimia baada ya ushindi huo mnono kwa taifa.

Taifa stars itasafiri tena siku ya jumapili kuelekea nchini Tunisia kwa ajili ya mchezo dhidi ya Libya
Mchezo huo umeshindikana kuchezwa nchini Libya kwa sababu za kiusalama hasa kipindi hiki Cha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe

Post a Comment

0 Comments