advertise with us

ADVERTISE HERE

HAJI MANARA AWAVAA TENA YANGA

Msemaji wa klabu ya Simba na mhamasishaji wa  timu ya taifa Tanzania Haji Manara  ameendelea kuwatibua mashabiki na viongozi wa Yanga juu ya mwenendo wao 


Hapo jana Haji Manara aliutumia mtandao wa Instagram kuzungumzia ugomvi kati ya Bumbuli na Nugaz wanaogombea nafasi ya msemaji wa klabu huyo yenye maskani yake Jangwani kariakoo .NManara aliandika hivi


Post a Comment

0 Comments