wakihuzunika kwa kushindwa kutwaa kombe la dunia . Nimekuwekea hapa muonekano wa mastaa hawa watano waliofika fainali kombe la dunia na wakaishia kufungwa na kulikosa kombe la dunia . Hii ni mionekano yao endapo wangetwaa kombe la dunia kwa timu zao za taifa
1. Lukas Modric - Crotia
Fainali za kombe la dunia mwaka 2018 zilifanyika nchini Urusi na kushuhudiwa wa maajabu mengi mno. Fainali ilimalizika kwa Ufaransa kutwaa taji hilo na mchezaji wake Kylian Mbappe kuwa mchezaji bora chipukizi huku Lucas Modric akiwa mchezaji bora wa mashindano mbali na kwamba timu yake ilifungwa fainali. Huu ni muonekano wa Modric kama angetwaa kombe la dunia
2. Lionel Messi - Argentina
Mwaka 2014 fainali za kombe la dunia zilifanyikia nchini Brazil na tulishuhudia mwenyeji wake Brazil akifungwa mabao 7-1 hatua ya robo fainali na Ujerumani ambao waliifunga Argentina bao 1-0 na kutwaa kombe hilo huku Messi akiachwa analia. na huu ni muonekano kama Messi angetwaa kombe la dunia
3. Sneidjer - Netherlands
Fainali hizo zilifanyika nchini Afrika Kusini mwaka 2010 na hakuna aiyetegemea kama Hispania atatwaa kombe hilo baada ya kuanza kwa kipigo cha mabao 2-1 toka kwa Switzerland . Siku ya fainali uholanzi iipewa nafasi kubwa kwa sababu ya nyota wake mahilli Robben na Sneidjer Mchezo ulioibua hisia ni ile fainali kati ya Hispania na etherland iliyomalizika kwa Iniesta kufunga bao muhimu zaidi maishani mwake na kuipa Hisania kombe la kwanza la dunia. Huu ni muonekano kama Sneijer angetwaa kombe hilo
4. Zinedine Zidane - France
Unaweza kusema Zidane ni chanzo cha Ufaransa kukosa kombe la dunia mwaka 2006 baada ya kumpiga kichwa materazzi na kupewa kadi nyekundu na baadaye timu hiyo kufungwa na Italia kutwaa kombe la dunia . Huu ni muonekano kama Zidane angetwaa kombe hilo la dunia mwaka 2006
0 Comments