Dismas alishawahi kuwa afisa habari wa yanga na baadaye aliteuliwa kuwa kaimu katibu mkuu wa Yanga na sasa ni Afisa masoko wa Yanga
Kupitia barua klabu hiyo imetoa taarifa ya mabadiliko ndani ya klabu hiyo siku ya leo tare 02 Novemba 2019
Wakati mabadiliko hayo yanaendelea Klabu hiyo ipo nchini Misri kucheza mchezo wake wa marudiano dhidi ya Pyramids na itachezwa siku ya kesho saa nne usiku.
0 Comments