BETI NASI UTAJIRIKE

DAH PATRICK AUSSEMS ATIMULIWA RASMI SIMBA,SABABU ZATAJWA

Klabu ya Simba imetangaza kufuta rasmi na aliyekuwa kocha Mkuu wa timu hiyo bwana Patrick Aussems.maamuzi hayo yamefikiwa baada ya kikao na kocha huyo

Kilichofanyika hapo juzi.awali Patrick aussems alipewa adhabu ya kutoifundisha timu hiyo na Leo hii Klabu hiyo imepiga chini rasmi


Post a Comment

0 Comments