ads

adds

BRAZIL YATWAA TENA KOMBE LA DUNIA

Timu ya Brazil imetwaa kwa mara ya 4 kombe la dunia la vijana wa umri chini ya miaka 17. michuano iliyofanyika nchini Brazil . Brazil Ilitwaa kombe hilo kwa kuifunga 2-1 Mexico 



huku nafasi ya tatu ikichukuliwa na Ufaransa walioifunga Uholanzi mabao 3-1. Waandaaji wa michuano hiyo Brazil walionyesha kiwango kizuri tangu mwanzo wa mashindano mpaka mwisho walipotwaa kombe hilo.

Brazil ilitwaa kombe lake la kwanza la dunia kwa U17 mwaka 1997 ,1999 ,2003 na 2019 a kuwafanya kuwa wenye makombe mengi zaidi ya timu yoyote ya Taifa kwa vijana U17 nyuma ya Nigeria wenye makombe 5 waliyotwaa mwaka 1985,1993,2007,2013 na 2015 huku mataifa mengine ya Afrika kuwahi kufanya hivyo ni Ghana waliotwaa mwaka 1991 na 1995.

Michuano hiyo itafanyika tena nchini Peru na itajumuisha timu 24 kutoa nchi mbalimbali duniani.

Post a Comment

0 Comments