BETI NASI UTAJIRIKE

BIGIRIMANA NA KIKUNDI CHAKE KUPIGWA CHINI NA YANGA

Klabu ya Yanga imekjidhatiti hasa kipindi hiki cha dirisha dogo kuhakikisha inafanya usajili wa nguvu na kutoa wachezaji wasiofaa ndani ya klabu hiyo yenye maskani yake jangwani

Habari za ndani zinaeleza Yanga inaweza kuachana na Maybin Kalengo, Mustafa Seleman pamoja na Issa Bigirimana ambao inatajwa kuwa hawajaonesha kile ambapo kilitarajiwa na wengi.

Licha ya taarifa hizo kuwepo, imekuwa ikielezwa Kaimu Kocha wa Yanga, Boniface Mkwasa, amedai atahusika katika kupunguza baadhi ya wachezaji ambao anaona hawana msaada mkubwa ndani ya kikosi hicho.

Post a Comment

0 Comments