BETI NASI UTAJIRIKE

BABA MWENYE NYUMBA "JOHN BOCCO " AMETUPA TAARIFA RASMI

Mshambuliaji mahili wa klabu ya Simba John Bocco amerejea rasmi kwenye kikosi cha Simba kinachoendelea na mazoezi jijini Dar es salaam . 


Bocco alikuwa nje ya uwanja kwa wiki kadhaa kutokana na majerha aliyoyapata mguuni na sasa amerejea na kuanza mazoezi ya kawaida na wachezaji wenzake.

Bocco ameshindwa kuitwa timu ya Taifa kwa sababu za majeraha na sasa amerejea Rasmi. nimekuwekea picha mbalimbali za Bocco akiwa mazoezini hapo jana.




Post a Comment

0 Comments