advertise with us

ADVERTISE HERE

ZAHERA ABAKIZA MECHI MOJA YANGA

Kocha wa klabu ya Yanga ,Mkongo Mwinyi Zahera ameendelea kulia kuti kavu klabuni hapo.Msimu huu mwinyi zahera alifungiwa na TFF kutokaa benchi la ufundi kwa mechi 3 na sababu kubwa ikiwa ni kutovaa mavazi rasmi kwenye mechi za ligi.

Baada ya kukosekana kwenye Michezo miwili Zahera atarejea uwanjani mara baada ya mechi inayofuata.

Katika mechi mbili alizokosa kukaa benchi la Ufundi Kocha timu hiyo imepata pointi 4 huku ikishinda bao 1-0 na kutoka sare ya mabao 3-3 dhidi ya polisi Tanzania mechi iliyoshuhudiwa na IGP Siro.

Ligi kuu imesimama kwa sasa kupisha mechi za kimataifa ambapo taifa stars itacheza na RWanda mchezo wa kirafiki na ule wa kufuzu CHAN.

Post a Comment

0 Comments