advertise with us

ADVERTISE HERE

YANGA YAZIDI KURUSHA MAKOMBORA KWA WAARABU

Yanga wamesema kuwa hawatakuwa na cha msalia mtume mbele ya Pyramids kwenye mchezo wao wa hatua ya mtoano.


Yanga itamenyana na Pyramids Octoba 27 jijini Mwanza wakituimia uwanja wa CCM Kirumba na  kurudiana nao nchini Misri.

Ofisa Uhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa wana uhakika na kile wanachokifanya kwa sasa jambo linalowapa kujiamini.

"Tunajua utakuwa ni mchezo mgumu ila hakuna namna ni lazima tupambane kupata matokeo, tunaamini katika hilo, mashabiki watupe sapoti lengo leu ni kusonga mbele kimataifa," amesema.


Mashabiki wa Yanga wamesema mashabii wa Simba hawataweza kuingia uwanjani siku hiyo kuwani wamejianga kuujaza uwanja huo kuanzia alfajiri.

Post a Comment

0 Comments