BETI NASI UTAJIRIKE

JINSI YANGA INAVYOWAFUNGA NJE YA UWANJA PYRAMIDS FC

Klabu ya Yanga Sc imekuja na mpango kabambe wa kuhakikisha inawadhohofisha wapinzani wao kombe la shirikisho klabu ya Pyramids ya Misri.


Yanga wameupeleka mchezo wao wa kwanza jijini mwanza na utapigwa uwanja wa CCM kirumba badala ya uwanja wa taifa Dar es Salaam.

Yanga imepanga kuwachosha waarabu kwa kuwaongezea safari kutoka Dar es salaam kwenda jijini mwanza ambako kuna hali ya barridi tofauti na Dar es salaam.

Mchezo huo utachezwa wakati wa mchana kuanzia saa 8 mpaka saa 10 jioni kitu ambacho kitawaumiza Pyramids waliozoea kucheza nyakati za jioni

Yanga imefanikiwa kuwakimbia mashabiki wa Simba ambao walipanga kuishabikia timu hiyo.

Post a Comment

0 Comments