advertise with us

ADVERTISE HERE

WACHEZAJI YANGA PRINCESS WAENDELEA KUTISHA TIMU YA TAIFA

Klabu ya soka Yanga Queens imeendelea kufurahia baada ya wachezaji wake 8 kuitwa timu ya taifa wanawake kujianaa na michzo mbalimbali ya Kimataifa.


Wachezaji walioitwa kikosi cha Twiga Stars ni  Thadea Handani,Tausi Abdalah 3. Happiness Hezron4. Amina Ally 5. Anzastazia Nyandago 6. Irene Kisisa 7. Lucia Mrema 8. Neema Charles

Ligi kuu upande wa wanawake itaanza tarehe 26 Oktoba huku Yanga ikiwa imejiandaa vya  kutosha iweze kushinda michezo yake na kutwaa ubingwa 

Post a Comment

0 Comments