Shirikisho la soka Tanzania TFF limetangaza matumizai ya katiba mpya kwenye uchaguzi ujao. hayo yamewekwa wazi na katibu mkuu wa shirikisho hilo Bwana Wilfred Kidao
Moja ya mambo yaliyoguswa ni nafasi ya makamu wa Raisi ambaye hatachaguliwa kama awali bali atateuliwa na Raisi aliyechaguliwa kwa kura wakati huo.
Idadi ya wajumbe wa TFF imepangwa kupunguzwa kutoka wajumbe 2 hadi kufikia 13 na pia kanda zikipunguzwa kutoka 13 hadi 6.
Wajumbe wa mkutano mkuu wattapungua kutoka 129 waliopo sasa mpaka 87 ikimaanisha wajumbe wawili kwa mikoa 26 , klabu 20 itatoa mjumbe mmoja na vyama washiriki watatoa wajumbe 15
0 Comments