advertise with us

ADVERTISE HERE

SIMBA KUWATUMIA WABRAZIL WOTE DHIDI YA BANDARI

Klabu ya Simba SC imeamua kuwatumia wabrazil wote kwenye mchezo wa kirafiki dhdi ya Bandari FC. Mchezo huo utapigwa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na mashabiki wamejitokeza.Kwenye mechi hiyo nyota wengi wa kikosi cha kwanza wamekosekana kutokana na majukumu ya timu za taifa hivyo kwa mara ya kwanza Simba inawaanzisha nyota wake wa kibrazili kwenye mchezo huo.

Nyota hao ni Santos,Fraga na Da Silva . mbali n hao Simba imetumia nyota wengi iliyowasajili msimu huu akiwemo Shiboub, Ajib,Kakolanya ,Shamte na Kahata.

Simba inakikosi kipana kwani ilisjili nyota wengi wenye uwezo kubwa hivy kukosekana kwa yota wa kikosi haimpi wakati mgumu kocha wa mabingwa watetei wa ligi kuu.

Post a Comment

0 Comments