advertise with us

ADVERTISE HERE

SIMBA KUSAIDIWA NA RIO FERDINAND WA MANCHESTER UNITED

 Hii ni habari njema kwa mashabiki wa Simba baada ya Mchezaji mstaafu wa klabu ya Manchester  United

Na timu ya taifa UIngereza Rio Ferdinand amefanikiwa kukutana na msanii maarufu wa BOngo fleva Nasibu Abdul maarufu kama Diamond platnumz aka SIMBA. Wawili hao wamekutana kwenye utolewaji wa tupo za BOA zilizofanyika jijin London huku Diamond akitwaa tuzo moja.

Msanii diamond ameendelea kuwa karibu na nyota mbali mbali wa soka ulimwenguni akiwemo Samwel Etoo ,Didier Drogba na wakati wa utolewaji wa tuzo hizo alikutana na nyota wa zamani wa Manchester United anayekipiga kwa sasa Crystal palace Wilfred Zaha na kiungo mkabaji Ngolo Kante.

Kukutana kwa nyota huyo wa bongo fleva na Rio Ferdinand kunazidi mfungulia milango ya mafanikio hasa kwa upande wa mashabiki baada ya siku chache zilizopita mchezaji wa Manchester United Paul Pogba kupost akiimba wimbo wa inama ali

Post a Comment

0 Comments