advertise with us

ADVERTISE HERE

SIMBA INAJIANDAA KUBADILI JEZI MSIMU HUU

Mashabiki wa klabu ya Simba wanajiandaa kununua jezi mpya baada ya zile za zamani kufanya vizuri.Mashabiki hao wamejipanga kununua jezi mpya za klabu ya Pyramids FC baada ya zile za ZESCO UNITED kufanya vizuri na kuitoa Yanga ligi ya mabingwa Africa.

Yanga imepangwa kuchuana na klabu ya misri Pyramid Fc na kama itaifunga klabu hiyo basi itaingia hatua ya makundi.

Mchezo wa kwanza kati ya pyramids na Yanga utapigwa jijini dar es salaam tarehe 27-10 na ule wa pili utapigwa tarehe 7-11 nchini misri.

Mashabiki wa Simba wanajiandaa kununua jezi za timu ya Pyramids na kuanzia wiki ijayo jezi hizo zitakuwepo mitaan zikiuzwa

Post a Comment

0 Comments