BETI NASI UTAJIRIKE

RONALDO AIONGOZA JUVENTUS KUWASAMBARATISHA SANCHEZ ,LUKAKU

Ligi kuu nchini Italy imeendelea hapo jana ikizikutanisha timu zinazowania kuongoza Serie A msimu wa 2019/2020. Mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu


Imemalizika kwa Juventus kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Intermilan. Mchezo huu ulikuwa unaamuru nani aongoze ligi kwa msimu huu baada ya timu hizo kutopoteza mchezo wowote wa ligi tangu ilipoanza .

Juve ilijipatia bao la kuongoza kupitia Dybala dakika ya 3 , dakika ya 18 Intermilan walipata penati iliyopigwa na Martinez . Mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika matokeo yalikuwa ni Juve 1-1 Inter.

Kipindi cha pili Juventus ilifanya mabadiliko ya kumtoa Dybala na Higuan Gonzalez aliingia na kufunga bao la ushindi dakika ya 80.

Kwa matokeo hayo Juventus imerejea kileleni mwa ligi hiyo ikiwa na jumla ya pointi 19 ikifuatiwa na Intermilan yenye pointi 18.

Kwenye mchezo huo Lukaku alikuwemo 

Post a Comment

0 Comments