advertise with us

ADVERTISE HERE

RAMOS AVUNJA REKODI YA IKER CASILAS AWEKA YAKE

Beki bora wa Rea Madrid na Hispania Sergio Ramos amevunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na golikipa mstaafu wa Hispania Iker Casillas. Casillas alikuwa ndiye mchezji aliyechezea hispania


Mechi  167 nyingi zaidi kuliko mchezaji yeyote wa taifa hilo aliyewahi ichezea Hispania. Ramos aliifikia rekodi hiyo mwzi machi na sasa amevunja rekodi hiyo kwenye mchezo dhidi ya Norway.

Kocha wa Hispania B. Roberto Moreno amekuwa akimwamini bei huyo na alimpanga kwenye mechi ya kufuzu EURO 2020.

Ramos alianza kuichezea Hspania mwaka 2005 na hana dalili ya kustaafu baada ya kusema angependa kushiriki michuano ya Olympic itakayofanyika mwaka 2020 jijini Tokyo japan.

Ramos  amesema rekodi huwekwa ili zivunjwe na anaamii ataitumikia hispania kwa mechi zaidi ya 200. Beki huyo amebeba UEFA nne akiwa na Real Madrid , Kombe la dunia mwaka 2010 nchini Afrika Kusini,vikombe viwili vya EURO 2008,2012 .

Post a Comment

0 Comments