BETI NASI UTAJIRIKE

PICHA: JINSI WACHEZAJI WA TAIFA STARS WALIVYOONDOKA KUELEKEA RWANDA

Kikosi cha wachezaji 29 kilianza safari kuelekea jijini Kigali kukabiliana a mchezo wa kimataifa baina ya Taifa Stars na Rwanda. Nimekuwekea picha mbalimbali za safari ya wachezaji hao.

Hapo Jana Haji Manara , mhamasishaji Taifa Stars aliondoka na baadhi ya wachezaji huku wengine wakiondoka Alfajiri ya leo tarehe 11/10.

Mara baada ya mchezo huo wachezaji wao wataelekea nchini Sudan kwa ajili ya Mechi kufuzu michano ya CHAN.

Mcheaji Simon Msuva amekaimu nafasi ukapteni ya Mbwana Samatta na ataiongoza timu hiyo dhidi ya Rwanda.

Nchimbi aliewafunga Yanga goli tatu ataongoza safu ya ushambuliaji huku John Boko akikosekana kwenye michezo hiyo.

Kama taifa Stazi itashinda michezo hiyo basi itazidi kujiweka nafasi nzuri za kupanda nafasi za juu FIFA.

Amospoti tunawataia ushindi mwema wachezaji wote wa Taifa Stazi

Post a Comment

0 Comments