advertise with us

ADVERTISE HERE

NUGAZ AMUWASHIA MOTO HAJI MANARA

Msemaji wa Yanga ameonekana kukerwa na kauli ya Msemaji wa Simba baada ya kuiita klabu hiyo pilipili hoho na kwamba ni kubwa ila haiwashi.Antonio Nugaz amesema kwamba kila msemaji wa Timu anapaswa kusemea timu yake sio mpaka usemee Yanga huku dongo hilo likimuendea moja kwa moja msemaji wa Simba Haji Manara.

Manara amekua ni msemaji ambaye lazima atoe neno lake endapo yanga ikifungwa au kufanya vibaya katika mechi zao.

Post a Comment

0 Comments