advertise with us

ADVERTISE HERE

MANARA APEWA ZA USO NA MSEMAJI WA YANGA ANTONI NUGAZ

Msemaji wa Klabu ya Yanga Bw. Antoni Nugaz ameendelea kujibu kauli za Manara na sasa ameonekana kukerwa zaidi. Nugaz amekerwa na kauli ya Manara kuwaita Pilipili hoho


 na ile ya kukimbilia mwanza dhidi ya Pyramid FC. Alipohojiwa na chombo kimoja cha habari juu ya kauli za Manara msemaji huyo alisema
"Ni vyema mwenye haki apewe haki yake ,Haji manara alichukulia advantage kubwa sana na kuichungulia fursa nzuri ya Simba waliolala na ndio maana ulikuta advantage aliyoichukulia Manara ni sababu social media ya simba haifanyi vizuri ndio maana ulikuta habari za klabu zinaanza kwenye ukurasa wake badala ya ukuras wa Simba na ndio maana anapewa matangazo na ubalozi wa bidhaa mbalimbali, kama isingekuwa Simba Haji Manara angekuwa mpiga debe wa kawaida tu Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments