advertise with us

ADVERTISE HERE

KIDOGO MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WAZICHAPE ,KISA NI WIVU

Mashabiki wa vilabu mashuhuri vya Simba na Yanga kidogo wapigane huku wasababishi wa ugomvi huo ni Yanga.Chanzo cha ugomvi huo ni kitendo cha mashabiki wa Simba huko mvomero kata ya ilanga kujenga bango linaloitambulisha klabu hiyo ndipo wenzao wa Yanga walipokasirika na kutaka kuharibu bango hilo.

Baada ya mvutano mkubwa ndipo ofisi hiyo ilipotoa maamuzi kwamba mashabiki wa Yanga na wao wanahaki ya kujenga bango lao na liwe upande wa pili wa Barbara.

Chanzo hasa ni nini
MWandishi wetu alipata wasaa wa kuwahoji mashabiki mbalimbali na wengi kusema mashabiki wa Yanga wamekuwa wakiwaonea wivu watu wa simba baada klabu hiyo kuwa inafanya vizuri tangu msimu uliopita. Wamesema Yanga haina ofisi wala utambulisho wowote mahali hapo ndio maana waliamua kufanya fujo maana wamejikuta wakizidiwa kwa maendeleo

Nini hasa faida ya matawi hayo?
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa tawi hilo lengo Lao ni kufungua akademi ya kijana wadogo, kufungua duka la vifaa vya Michezo venye nembo ya simba pamoja

Post a Comment

0 Comments