advertise with us

ADVERTISE HERE

KIBOKO YA SIMBA NA YANGA AREJEA UWANJANI, ATANGAZA HALI YA HATARI

Beki msumbufu wa klabu ya Azam FC Agrey Morris amerejea uwnjani baada ya kukaa nje kwa takribai miezii minne. Beki huyo ameanza mazoezi madogo madogo na atakuwepo kwenye michezo


ya Simba na Yanga.Moris alipata majeraha mwezi juni mwaka 2019 kwenye mchezo dhidi ya Misri uliofanyika jijini Cairo a kumfanya asicheze michuano ya CAF iliyofanyika nchini Misri

Uongozi wa Aam FC kupitia tovuti yao umethibitisha Moris kurejea uwanjani na anategemewa kufanya vizuri msimu huu.

Beki huyo amekuwa ni mwiba mkali kwa washambuliaji wa Simba na Yanga na hata msimu uliopita aliwapa shida klabu ya Yanga.

Post a Comment

0 Comments