advertise with us

ADVERTISE HERE

HII NDIO MANCHESTER UNITED MBOVU ZAIDI KUWAHI KUTOKA

Mchezaji mstaafu wa Manchester United ameonyesha kuumizwa na matokeo mabaya yanayotokana na timu hiyo msimu huu.


Michael Owen amesema Manchester United hii ni mbovu zaidi kuwahi kutokea kwa kipindi cha miaka 10.

Ole gunnar ameshuhudia mastaa mahili wa timu hiyo wakliondoka msimu huu huku akijaribu kukijenga kikosi hicho upya. Romelu Lukaku, Alexis Sanchez na Herera ni moja ya wachozaji waliotakiwa kuwepo ila wameondolewa na timu hiyo.

Manchester United inahali mbaya zaidi msimu huu baada ya kucheza michezo 7 imeachwa pointi 12 inayoongoza ligi huku yenyewe ikiwa nafasi  ya 10.

Michael Owen alisema "Naweza sema Manchester United ipo katikati ya msimamo wa ligi ila naona ni ngumu kwao kumaliza ndani ya 6 bora,"

Manchester imecheza mechi ya Europa na timu ifahamikayo AZ na jumapili hii itakutana na timu ngumu ya Newcastle.

Post a Comment

0 Comments