advertise with us

ADVERTISE HERE

DEMBELE KUIKOSA EL CLASSICO KISA KADI NYEKUNDU

Chama cha soka nchini hispania kimemfungia mechi mbili star wa timu hiyo Osmani Dembele.Nyota huyo alipewa kadi nyekundu kwenye mchezo dhidi ya Seville mchezo uliomalizika kwa Barcelona kushinda mabao 4-0 huku Dembele akifunga bao lake la kwanza msimu huu.

Mshambuliaji huyo atakosa mchezo dhidi ya Eibar hapo tarehe 19 na ule wa tarehe 27 -10. Kwa upande mwingine mchezaji huyo amekuwa akisumbuliwa na majeraha tangu aliposajiliwa na sababu haswa ni aina ya chakula anachokula pamoja ukosefu wa usingiz.

Taarifa za ndani zinasema mchezaji huyo amekuwa hahudhulii mazoezi mara kwa mara na kuchelewa kufika mazoezin jambo linalomkela kocha wa klabu hiyo.

Post a Comment

0 Comments