Klabu ya Azam Fc jioni ya leo ilikuwa na mchezo wa kirafiki idhidi ya Green Warriorsmchezo uliopigwa dimba la chamazi jijini Dar es Salaam
Kwenye mchezo huo uliopigwa nyumbani kwa Azam ambao waliibuka na ushindi wa mabao 5-0 huku kila mtu akihamaki kipi kimeikumba Green Warriors.
mabao ya azam yalifungwa na Abdul kassim Khamisi akipiga mawili, Muivory Coast Richard Ella D'jodi bao moja , Mzimbabwe Donald Ngoma bao moja na Mrundi Suleiman Ndikumana akifunga mmoja.
Azam imeanza vyema msimu huu na inategemewa kuongeza ushindani kwa ilabu vya Simba na Yanga kwenye mbio za kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom
0 Comments