advertise with us

ADVERTISE HERE

ALIYEIHUJUMU TFF AACHIWA HURU KULIPA MILIONI 100

Mahakama ya hakimu mkazi kisutu hapo jana tarehe imemuachia huru aliyewahi kuwa mwenyekiti msaidizi wa TFF.


Bwana Michael Wambura alikuwa akishikiliwa tangu mwaka 2015 kwa makosa matatu likiwemo kuhujumu uchumi,rushwa,matumizi mabaya ya ofisi pamoja na utapeli kwa kutumia jina la TFF.

Mwezi uliopita raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mhe John Pombe Magufuli aliwapa nafasi watu wote wenye kesi za uhujumu uchumi kukiri na kurejesha fedha walizohujum, moja ya watu waliojitokeza ni Mwenyekiti huyo msaidizi bw.Michael Wambura ambae alikabiliwa na kuhujum kiasi cha milioni 100 na alikiri kosa hilo na kuamriwa kulipa fedha hizo zote kwa awamu tano mpaka septemba 2020.

Post a Comment

0 Comments