advertise with us

ADVERTISE HERE

ALEXIS SANCHEZ NJE YA UWANJA MIEZI MITATU

Kocha wa timu ya taifa Chile amethibitisha kocha huyo kukosekana ndani ya Uwanja kwa kipindi cha miezi miwili hadi mitatu. Sanchez aliumia eneo la goti.Sanchez alitolewa nje ya uwanja wakati timu yake Chile ikichuana na Colombia kwenye mchezo wa kirafiki uliomalizika kwa sare ya bao 1-1.

Mshambuliaji huyo wa Manchester United aliye kwa mkopo klabu ya Intermilan ataelekea mjini Mila kwa vipimo zaidi kama atahitaji upasuaji au la.

Kocha wa Chile amesema" Sanchez atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha kirefu cha karibu miezi mitatu,Sanchez alishaanza kurudi kwenye fomu yake na amheza michuano ya ligi ya Mabingwa ulaya na Serie A.

Sanchez amefunga mabao mawili Serie A na alitolea nje kwa kadi nyekundu dhidi ya Sampdoria

Post a Comment

0 Comments