Mchezaji wa Kagera Sugar ameutumia mtandao wa Instagram kuomba radhi kwa mchezaji wa Simba Ibrahim Ajibu.
Beki huyo ambae hakufanya kitendo cha kiungwana kwa kujaribu kumpiga mtama mchezaji Ibrahim Ajibu wakati wakigombea mpira ,amekiri kufanya tukio hilo na kuomba msamaha.
0 Comments