advertise with us

ADVERTISE HERE

MO DEWJI ATUA BUNJU KUKAGUA UWANJA

Mwekezaji wa klabu ya Simba Mohammed Dewji smetembelea uwanja wa Bunju kukagua maendeleo yake. Dewji ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi huu.
Simba itaanza kuutumia uwanja huo mwishoni  mwa mwaka huu kama kituo kikuu cha mazoezi. Uwanja huo utakuwa na gym,swimming pool  na uwanja huo umegawanyika sehemu mbili. Sehem ya kwanza itakuwa na nyasi bandia na sehemu nyingine ni nyasi za kawaida.

Post a Comment

0 Comments