advertise with us

ADVERTISE HERE

AZAM CHALI MICHUANO YA CAF

Klabu ya Azam FC iliyokuwa ikishiriki michuano ya CAF upande wa shirikisho imeambulia kipigo ikiwa nyumbani kwake chamazi.
Azam inakibarua kigumu kwenye mchezo wa marudiano baada ya kufungwa goli moja na Triangle United  huku Yanga ikipumulia mashine baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Zesco United.

Azam na Yanga ndio timu pekee zinazoiwakilisha Tanzania kimatafa huku Simba na KMC zikitupwa hatua ya awali za michuano hiyo.

Azam na Yanga zinapaswa kujiandaa vyema kwenye michezo ya marudiano kwani wapinzani wao wameonekana kuwa imara na hilo limedhihirika kwenye michezo yao ya ugenini.

Azam anatakiwa kushinda bao kuanzia mbili ili aweze kuendelea na hatua inayofuata (Makundi). Tunaamini Azam inaweza kufanya vizuri mchezo wa marudiano na kusonga mbele.

Post a Comment

0 Comments