advertise with us

ADVERTISE HERE

DAVID DE GEA ATWAA TUZO HII

Staa  wa Manchester united na hispania ameendeleza rekodi ya kuwa mchezaji bora wa Manchester United
 David De Gea na Michael Carrick wakiwa wameshikilia tuzo kwa pamoja

Mchezaji huyo ametwaa tuzo hiyo kwa mara ya tatu mfululizo na ataendelea kuwepo Old Trafford  kwa misimu mingine saba. Sherehe hizo zilihuzuliwa na wachezaji na viongozi mbalimbali  wa Manchester United.
Kiungo Fellaine alihudhulia sherehe hizo pia
 Kiungo Nemanja Matic aliejiunga mwanzoni mwa msimu huu alijishindia tuzo ya goli bora dhidi ya Crystal Palace.
Alexis Sanchez alihudhuria sherehe hizo pia
Antonio Martial alihudhuria sherehe hizo 
Beki Phil Jones na mkewe walihudhuria sherehe hizo
Beki Chris Smalling na  Mkewe
Mchezaji wa zamani wa Manchester United Brown akipiga selfie pamoja  Jesse Lingard, Paul Pogba na Rashford
Brown na Ashley Young katika picha ya pamoja
Luke show na mkewe
Kinda Scott Mctommy alipokea tuzo kutoka kwa Jose Mourinho kama mchezaji bora wa kocha
Mourinho alisema " Mchezaji wangu wa mwaka naweza kusema ni David De Gea , hata kama goli kipa hastahili  lakini amekuwa na mwaka mzuri kama miaka yote ya nyuma na ameendelea kuwa katika kiwango cha hali ya juu sana kwa hiyo chaguo namchagua kama mchezaji bora kwa hiyo endelea kupambana na ninawasubiri los Angels kwa maandalizi ya msimu mpya.

Wakati huo huo Mourinho aliwamshangaza kila mmoja kwa kutoa tuzo bora kwa mchezaji wa kocha aliyoipata kiungo Scott McTominay na wengi walitegemea kama Pogba aliesajiliwa kwa gharama kubwa kuchukua tuzo hiyo.


 

Post a Comment

0 Comments