advertise with us

ADVERTISE HERE

UJUE UTOFAUTI WA TUZO ZA FIFA NA BALLON D' OR

 Ballon D'or
Tuzo za Ballon d'or zilianzishwa mwaka 1956 na gazeti magazeti ya michezo Ufaransa. Lionel Messi anaongoza kwa kuwaa tuzo hiyo akitwaa mara 5 akifuatiwa na Cristiano Ronaldo anaeitetea tuzo hiyo baada ya kushinda mwaka 2016. Tuzo hizi hutolewa kila mwanzo mwa mwaka.
Waanzishi wa Tuzo hizi walikuwa na mkataba na FIFA tangu kuanzishwa kwake.

Post a Comment

0 Comments