advertise with us

ADVERTISE HERE

STAA WA MANCHESTER UNITED KUJA NA FILAMU YAKE

Filamu ya dakika 60 yenye kuonyesha mihangaiko aliyopitia staa wa zamani wa Borussia Dortmund mpaka kuwa mchezaji wa kwanza kucheza ligi kuu uingereza kwa nchi yake.


Henrikh Mikhtaryan ndie mhusika mkuu wa filamu hiyo inayokaribia kurushwa na kituo cha MUTV hivi karibuni.
Filam hiyo imepewa jina la Micki:An Armenian hero itaonyesha matokeo maalum aliyopitia mchezaji huyo na kuonyesha kifo cha baba yake aliefariki akiwa na miaka 33.
Filam hiyo itaonyesha jinsi Henrikh alivyopigania ndoto ya baba yake kuwa mchezaji bora ulimwenguni.
Mchezaji huyo alianza soka la kulipwa katika klabu ya FC Pyunic akiwa na miaka 17 na baadae alijiunga na Shakhta Donetsk mwaka 2010.
alihamia Dortmund na baadae kutua manchester United kwa dau la paundi milioni 30.
Mchezaji huyo amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora mara saba kwa timu ya taifa na bado anang'ara akiwa na Manchester United.

Post a Comment

0 Comments