advertise with us

ADVERTISE HERE

MATA AKATAA MSHAHARA WA BILIONI 1 KWA WIKI

Mchezaji wa Machester United na Hispania Juan Mata amekataa mshahara wa shilingi bilioni 1 baada ya makato ya kodi. wachina wameendeleza rekodi ya kununua wachezaji kwa gharama kubwa lakini hiyo ni tofauti kwa Mata

Juan Mata amebakiza miezi 12 katika mkataba wake na analipwa kiasi cha shilingi milioni 500 na  Manchester United. wachina wamesema watamlipa mara mbili ya kiasi hicho kama atakubali kujiunga na klabu moja wapo nchini China  lakini Mata amekataa ofa hiyo na kutaka kuongeza mkataba na magwiji hao wa Uingereza
Taarifa za ndani za klabu ya Manchester zinaripoti "Wachina walitutembelea hivi karibuni na kumtaka kumnunua Juan lakini mchezaji huyo alikataa ofa hiyo na kusisitiza anataka kubaki na Manchester United.
Klabu haitaki mchezaji huyo aondoke bure na tupo katika mazungumzo na baba yake ambaye ndiye wakala wake".kilisema chanzo hicho.
Mchezaj huyo alisajiliwa na machester United mwaka 2014 kwa dau la Euro milioni 37.1 akitokea chelsea na amecheza michezo 118 na kufunga magoli 28.

Post a Comment

0 Comments