advertise with us

ADVERTISE HERE

WENGER,MOURINHO,GUARDIOLA NA EVERTON VITANI TENA

Beki kinda wa Wolves amekuwa kivutio kwa timu kubwa nchini Uingereza tangu ajiunge na timu hiyo kwa mkopo akitokea Monaco.
 Venagre yupo Wolves kwa mkopo akitokea Monaco ya Ufaransa, mchezaji huyo ameonyesha uwezo mkubwa kipindi kifupi tangu atue Wolves na amezishawishi klabu kubwa kuanza mfukuzia.
Mchezaji huyo ameshauliwa kuanza kutafuta timu kubwa ili aweze kukuza kiwango chake zaidi. Everton wameshaanza jiandaa kumnunua kinda huyo.
Taarifa zinasema Everton itakuwa na ushindani kutoka kwa  Arsenal ambao nao wanadai kumhitaji beki huyo na walianza kumfuatilia katika michuano ya Euro U17mwaka 2016
Kocha wa Manchester United anatajwa kumhitaji kinda huyo kutokana na upungufu wa beki wa kushoto katika timu yake.
Kocha wa Manchester City nae anatajwa kumtaka beki huyo na ameshatuma maskauti kwa ajili ya kumfuatilia kinda huyo.

Post a Comment

0 Comments