advertise with us

ADVERTISE HERE

DEENEY: MTOTO WANGU ANANICHUKIA KUIFUNGA ARSENAL

Kapteni wa Watford Troy Deeney amekiri kuwa na wikiendi ngumu baada ya timu yake kuifunga  Arsenal ambayo mwanae ni mshabiki namba moja.
Deeney amempongeza mchezaji mwenzake Tom cleverley na penati ya Richarlison ilikuwa nzuri na iliwashangaza Arsenal.
Deeney alisawazisha goli la Mesut Ozil kwa mkwaju wa penati ambayo ilionekana kutoridhiwa na Arsenal na mchezo huo kumalizika kwa Watford kushinda 2-1.

Post a Comment

0 Comments